Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Mirinda Nyeusi hapa
hazina tofauti na black current sijui kama siku hizi black current zipo?
Nyagi mwaa mwii
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
my best drink
قثثلاتتثث
Mtumishi wa bwana habari yako.
Kwa wale wapenda mambo yetu yale huwa una pendelea kutumia kinywaji gani uwapo maeneo ya burudani?
Binafsi nikiwa viwanja napenda sana wine ya "saint Anna" ina nipa stata kwa uzuuuriii kabisa,kama ni soft drink basi ni "bavaria" bia ni Big NO nakerwa na kubeua.
Ila 'Saint Anne' inapendeza zaidi akinywa mdada
upo mpakwamafuta
Ha ha ha no comment.Ila 'Saint Anne' inapendeza zaidi akinywa mdada
vip mkuu kuna virobaa....vya jogoo.kimorali jeeeKwa wale wapenda mambo yetu yale huwa una pendelea kutumia kinywaji gani uwapo maeneo ya burudani?
Binafsi nikiwa viwanja napenda sana wine ya "saint Anna" ina nipa stata kwa uzuuuriii kabisa,kama ni soft drink basi ni "bavaria" bia ni Big NO nakerwa na kubeua.
Hiyo aveta yako bdo kidogo tu ifanane na ya Mkoroshokigoli.Jana nilizidisha kipimo cha banana mpaka nikasahau kukujibu mtumishi.