Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kwa wale wapenda mambo yetu yale huwa una pendelea kutumia kinywaji gani uwapo maeneo ya burudani?
Binafsi nikiwa viwanja napenda sana wine ya "saint Anna" ina nipa stata kwa uzuuuriii kabisa,kama ni soft drink basi ni "bavaria" bia ni Big NO nakerwa na kubeua.