Nje pametulia sana leo...hali ya hewa iko poa sana....tulivuuuuNdani sa ingine ni pazuri manake hupati kero nyingi za huku nje.
Nitonye sio mlevi bana, kama unahamu ya makofi useme.Akishalewa huwa anakuwa mzigo kama alivyo mumeo Nitonye
au? hilo sio swaliNyota ya Jah au?
Juu kama nyota
Tulivu sana, lile joto la ajabu ajabu limepotea leo.Nje pametulia sana leo...hali ya hewa iko poa sana....tulivuuuu
Nitonye sio mlevi bana, kama unahamu ya makofi useme.
au? hilo sio swali
Swali la Bagah liliniacha hoi siku ile.au? hilo sio swali
Lyucinder amejiaibisha yeye na chama chake.Useme nini tena? Hayo ulosema yanafanana na alosema Lyucinder.
useme ukweli tu upate msaada....hivi ile kitu inameswa na mwensake alikupa lini vile maana kila siku yuko bar muda woteNitonye sio mlevi bana, kama unahamu ya makofi useme.
Uzazi wa mpango unasaidia..wazazi wanaweza kulea vema watoto.nyota ya kijani inasidia kupanga uzazi...
Ile ilikuwa cha mtoto....hahahaaaaa nimemmiss sana Kabakabana....Swali la Bagah liliniacha hoi siku ile.
Tulivu sana, lile joto la ajabu ajabu limepotea leo.
Uzazi wa mpango unasaidia..wazazi wanaweza kulea vema watoto.
Closer Bagah, we acha tu.LEO hali inaruhusu kukaa close or even closer...
Mtei? Mbona hana chake tangu mwanzo....SWALI la kizushi kwako ericky...umevunja ndoa tarajiwa ya Mtei?
Kabakabana kapotea sana jamani.Ile ilikuwa cha mtoto....hahahaaaaa nimemmiss sana Kabakabana....
Nje pametulia sana leo...hali ya hewa iko poa sana....tulivuuuu
Kabakabana kapotea sana jamani.
leo inabidi baadae wakati naangalia match ya timu yangu nishtue hata moja.....sio ile kitu...namaanisha ndovuTulivu sana, lile joto la ajabu ajabu limepotea leo.