Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Mua siku hizi unakosa ladha, imekuja miwa ya plastikiKisu cha maana haswa....!! Na ni kizuri zaidi kukatia Matunda kama Apple, Peas, au kupalia Mua....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mua siku hizi unakosa ladha, imekuja miwa ya plastikiKisu cha maana haswa....!! Na ni kizuri zaidi kukatia Matunda kama Apple, Peas, au kupalia Mua....
Sent using Jamii Forums mobile app
Plastiki imekua too much bd ngano ya plastiki na unga!Mua siku hizi unakosa ladha, imekuja miwa ya plastiki
Salama condom, hivi bado zipo siku hizi?unga haujawahi kumuacha mtu salama
Hizi Salama condoms umenifanya nicheke.Salama condom, hivi bado zipo siku hizi?
Salama kaka.Hizi Salama condoms umenifanya nicheke.
Sikutegemea kukutana na kitu kama hii ya kuitwa Salama
Kijana Mimi nipo Salama wasalmin.Salama kaka.
Nimekumiss sana wewe kijana