Screen ya simu yangu imevunjika toka jana, nasoma jf kwa shida.WATOTO wenyewe hawa wa touch-screen!
Kaubaridi kamemfanya ahamie kwa nanii hata JF hakumbuki tenajamani Kaby ananitisha ukimya wake na haka kaubaridi!
shida ya nini mama njoo uchukue touch mpyaScreen ya simu yangu imevunjika toka jana, nasoma jf kwa shida.
Baridiiii hadi inatoa kajasho nje ya chupa......Loltulivuuu...kama Tusker Baridiii!
Kaubaridi kamemfanya ahamie kwa nanii hata JF hakumbuki tena
Jamani haya maisha kweli kuna kupotea....Kabakabana kapotea sana jamani.
Kula muhimu dogo acha ushamba....kwani we hupendi kula?tena kwa jinsi mumewe anapenda kula kula!..
Ndovu huwa inaondoa baridi?leo inabidi baadae wakati naangalia match ya timu yangu nishtue hata moja.....sio ile kitu...namaanisha ndovu
Mpya kabisa una hakika?shida ya nini mama njoo uchukue touch mpya
Baridiiii hadi inatoa kajasho nje ya chupa......Lol
Kula ni lazima bana, hakuna awezae kuishi bila kula..Kula muhimu dogo acha ushamba....kwani we hupendi kula?
Mpya kabisa una hakika?
Kula ni lazima bana, hakuna awezae kuishi bila kula..
Ndovu huwa inaondoa baridi?
Asubuhi ilinyesha mvua, kidogo nighairi kwenda kazini.kula ushibe...sio kula mpaka ushindwe kuamka asubuhi!
Baridi yote lazma iishe.....Halafu inabidi uitafute kabisa saa hizi kabla mvua haijaanzaNdovu huwa inaondoa baridi?
Kamwe siwezi kuishi bila nitonye..HAKIKA huu uzi hautaisha kamwe!..
Kazini halafu hakutumia kinga....sasa anawaza km imekula kwake au kanusurika kuukwaaAsubuhi ilinyesha mvua, kidogo nighairi kwenda kazini.
Haijaanza mpaka sasa hivi, mie huwa sikunywi chochote kinacholevya!Baridi yote lazma iishe.....Halafu inabidi uitafute kabisa saa hizi kabla mvua haijaanza
Nitonye kabambwa na housegirl wa jirani chini ya mti pale kwa mzee MushiKamwe siwezi kuishi bila nitonye..