JamiiForums game of the year

hajambo, japo sijui anaendeleaje! wewe unajua kuhusu aliko?
 
upagawe wewe mwenye mapepo. Yeye hana mapepo japo kuwa ali2mia uchawi kumchukua smile.

Smile sikumchukua kwa Uchawi ila ni kwa Upendo tuuu, naona unasahau kuwa "MUNGU NI UPENDO"
 
Kuigwa na wengi kunafanya chati yako ipande.

ipande hadi wapi na chati ipi unaiongelea? ila labda mtu akiiga Upendo wangu kwa Smile itapendeza sana
 
Sana? Ama sanaa? Kila kitu Tz kinapendeza sana especially this thread!
 
upagawe wewe mwenye mapepo. Yeye hana mapepo japo kuwa ali2mia uchawi kumchukua smile.
Smile alikutosa.....!
Hahahaaaaaa aruuuuuuuuu
Duh kweli dunia ina mambo.....
Hahahaaaaaa Mteiiiiiiii Oneeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…