Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Kufuatilia mwanzo mwisho na kila nikifuatilia naandika kitu na mwengine akija kufatilia anaunganisha hii game labda siku wakiamua kuifunga JF ndio itaisha.Kujulikana atajulikana tu,endelea kufuatilia.
Kufuatilia mwanzo mwisho na kila nikifuatilia naandika kitu na mwengine akija kufatilia anaunganisha hii game labda siku wakiamua kuifunga JF ndio itaisha.
Amyyyyiii emiiiii aminaaata, twanga pepeta hiki kibao walikipiga kwa ustaha sanaPenzi la wife ni la kiwango cha juu sana....Uko wapi mylove Amy?
Kufuatilia mwanzo mwisho na kila nikifuatilia naandika kitu na mwengine akija kufatilia anaunganisha hii game labda siku wakiamua kuifunga JF ndio itaisha.
Itaishaje na jamaa kaweka bonge la gemu, halafu watu waviiivu hata kumpa thanks mpaka awe alwatani au?
au tungoje mpaka saa sita usiku december 31st 2012 ndo tutajua mshindi.
Au mpaka akivuta km The Great ndio wataanza kumfagilia,hebu ngoja nimgongee japo like kwa hili jigame la ukweli!Itaishaje na jamaa kaweka bonge la gemu, halafu watu waviiivu hata kumpa thanks mpaka awe alwatani au?
Atapatikana lini kwa style hii,umeandika nami nimeendeleza atakuja mwengine ataendela hivo ivo sijui mpaka lini!Itaisha tu na mshindi atapatikana.
Mshindi hatapatikana maana mda huo na mie lzm nitaandika kitu kwenye hii gameau tungoje mpaka saa sita usiku december 31st 2012 ndo tutajua mshindi.
YNNAH wa Angelo au yupi?Hapa mshindi ni Cantalisia wa Salvado tu!Mshindi ni YNNAH
lini hili gemu litaisha jamani,mi nishachoka kusubiri zawadiAtapatikana lini kwa style hii,umeandika nami nimeendeleza atakuja mwengine ataendela hivo ivo sijui mpaka lini!
Zawadi ni mpaka uwe mshindi na mashindi atapatikana mwisho wa game!lini hili gemu litaisha jamani,mi nishachoka kusubiri zawadi
Zawadi ni mpaka uwe mshindi na mashindi atapatikana mwisho wa game!
! Ni alama ya mshangao,tena kwa lugha ya kiingereza utaji mpaka unywe vodka.Zawadi ni mpaka uwe mshindi na mashindi atapatikana mwisho wa game!
noma atakaye bisha konyagi inalewesha zaidi ya vodkaGame hili ni noma...
! Ni alama ya mshangao,tena kwa lugha ya kiingereza utaji mpaka unywe vodka.
Game lenyewe hilo naona watu wengine wanarukia tu post zingine wala hawafuati mtiririko mzuriZawadi ni mpaka uwe mshindi na mashindi atapatikana mwisho wa game!
mtiririko mzuri kwani umeambiwa ni mtihani huu kwamba utashaishwa??!!Game lenyewe hilo naona watu wengine wanarukia tu post zingine wala hawafuati mtiririko mzuri
Noma kweli kweli hii wataikuta vizazi na vizazi vya JFGame hili ni noma...
Vodka yenyewe kumeza mpaka ufumbe macho!! Ni alama ya mshangao,tena kwa lugha ya kiingereza utaji mpaka unywe vodka.