Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Mzuri ni ule ukijibu,unaanza sentensi yako na neno la mwisho la unaye mjibuGame lenyewe hilo naona watu wengine wanarukia tu post zingine wala hawafuati mtiririko mzuri
Mzuri ni ule ukijibu,unaanza sentensi yako na neno la mwisho la unaye mjibu
Vizuri sana kama mtiririko utakuwa ni hivi hapa itakuwa rahisi ss hata utamu wa gamu unaongezeka.Mjibu Yule anayemalizia Uzi ili mtiririko uende vizuri.
chini ya asilimia au point ngapi mtu atakuwa amepoteza huu mchezounaongezeka kwa juu au kwa chini?...
mchezo mchafu hapa hautakiwi, kama umeshindwa bora uondoke tu...chini ya asilimia au point ngapi mtu atakuwa amepoteza huu mchezo
tu tashinda hakika katika Jina la Yesumchezo mchafu hapa hautakiwi, kama umeshindwa bora uondoke tu...
Yesu akasema.....tu tashinda hakika katika Jina la Yesu
Msinyimane ila mpeane kwa upendo kama aliowaagiza katika 1Yohana 4:16Kasema mpeane msinyimane
16 +1 -17 = 0Msinyimane ila mpeane kwa upendo kama aliowaagiza katika 1Yohana 4:16
O brain kama yako ndo inataka kutuharibia mchezo jombaa16 +1 -17 = 0
jombaa chunga sana wewe....ohoo..!!O brain kama yako ndo inataka kutuharibia mchezo jombaa
jombaa chunga sana wewe....ohoo..!!
Ohoooo, gemu imeanza kuharibiwa, ladha yote inspotea. Jamani mwisho wa gemu lini?
Jamani itaisha pale tu mtakapo amua kuimaliza wenyewe.Lini game hii itaisha jaman?
Jombaa up to the moment I fill like am the winner of dis game coz it almost two hrs no bady replyO brain kama yako ndo inataka kutuharibia mchezo jombaa
Kujulikana atajulikana tu,endelea kufuatilia.
kufuatilia nn wakati mshindi nshajulikana.