Jamanitumalizie game namimi ndo mwenyewe.
mwenyewe kaondoka atarudi mwakani tarehe kama ya leo
....leo ni jumatano,Gazeti la udaku la Risasi ndo linatoka,
kanunueni wana Jf ili Msome Umbea.
Ndoa nyingi siku hizi ni ndoano.
Ndoano pia ni aina ya chombo cha kuvulia samaki kama perege.
Salaam ni uungwana,sasa tatizo li wapi kwa yeye kuonyesha uungwana wake.Hujambo mwenyewe kwani alikwambia anataka salamu!
Salamu ni kitu cha muhimu.Mtu wewe yinnah haya endelea na uungwana na mimi nataka salamu
Salamu ni kitu cha muhimu.
hiyari yashinda utumwa!
utumwa wa kifikra ni mbaya sana!!
haba haba hujaza kibaba...unaukumbuka huu wimbo wa Stella Mwangi kenya....sana na unatishia amani ya wenye fikra haba.