haba haba hujaza kibaba...unaukumbuka huu wimbo wa Stella Mwangi kenya
Kenya kuna soko maarufu linaitwa katerero.
. . . . . .katerero siyo soko pekee kenya bali lipo lingine linaitwa, twankifoko
LOL, an abbreviation for laughing out loudtwankifoko lol.
2015 lazima CCM wakione cha moto na wanaweza kuiacha nchi.loud -er and loud -er sauti ya CDM itasikika 2015!
kenya ndo nimeishi most of my life lakini mi mbongo damu 🙂
Damu imemwagwa sana Tanzania
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote...
MUNGU anatupenda sana, tukimrudia atatusamehewote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU
MUNGU anatupenda sana, tukimrudia atatusamehe
gizani kuna nini, mbona watu wanapenda sana kufanyia dhambi huko?Atatusamehe zote hata tuzifanyazo gizani
gizani kuna nini, mbona watu wanapenda sana kufanyia dhambi huko?
Huko hudhani wapo salama!
salama c.o.n.d.o.m.s au erotica zipi zina ladha??salama isiyo salama.
Salama isiyo salama.
kwa nafsi zao watayajutia hayaSalama kwa nafsi zao
kwa nafsi zao watayajutia haya