JamiiForums game of the year

Tanzania nasikia ndio inaongoza kwa wadada walio vigoli(untouched) Afrika Mashariki na Kati...

...Kati pale kweli pasiguswe na uzuri wote tulionao madada wa ki-Tizedi?
 
ki- Tized tized mnafunika.. ila hamgusi mitaa ya north africa Madame B
 
Last edited by a moderator:
ki- Tized tized mnafunika.. ila hamgusi mitaa ya north africa Madame B

Madame B ndo mimi mtoto wa katikati ya jiji.
Wa-Bongo tunakava kila sehemu acha bwana!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…