JamiiForums game of the year

Wanaendelea kukuna hata Kama mkunwaji huwashwi..

Huwashwi panapowashwa ila huendelea papasa pasi na visa.
Wana ni-Gharhe we acha tu Remmy.
Ila Mkunaji na Mkunwaji yupi 'Anasikilizia' zaidi?
 
Huwashwi panapowashwa ila huendelea papasa pasi na visa.
Wana ni-Gharhe we acha tu Remmy.
Ila Mkunaji na Mkunwaji yupi 'Anasikilizia' zaidi?

Zaidi? Mkunaji ndio anasikilizia....
 
Muhimu sana.
Ila Vigelegele vikiwa vingi sana navyo kero kwa Majirani wasiohusika na Sherehe hiyo.

Hiyo haitakuwa sherehe kama hakuna vigelegele, hata uimbaji unaweza kuwa ni kero kwa majirani pia.
 
Majirani smtym wanakwua na wivu tu, wenyewe waje wale wanywe then waondoke!
 
waondoke tu maana majirani sometimes wana mambo ya umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…