JamiiForums game of the year

Kidogo nimeona watu wakitolewa kucha na meno bila ganzi,
kidogo nimeona watu wa jinsia moja wakifunga ndoa, haya ni mengi sana.

bila ganzi watu wanatolewa kucha na wanang'olewa meno, loo! duniani kuna watu wakatili sana!
 
Hahahaaaa,
sana sana wanaonfanyiwa hizo ni wale wanaousumbua mtandao wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…