Ulinzi pekee hautoshi bhana.
Inabidi ninunue pichu ya chuma yenye kufuli,funguo naacha home,mwendo mdundo kunako ofc tuone kama Mathematics atanigusa.
😛eep:
atanigusa mimi kwa maneno ili nimuelekeze funguo ulipo uweka!
Weka ukauzu usimwambie!
mwambie amechelewa maana hatoweza tena
tena najua unapoish ruttashobolwa mtu mwema sana ameni-PM mtaa unapoish ,
njoo nakusubiri , utanikuta kwako mlangoni, :smile-big:
:smile-big:
Mlangoni?
Ushindwe na ulegee kama mchawi aliekamatwa akiwanga kwa Padri.
limawaka tena hadi mifukoniKitaa bongo?
unaingizwa mjini kweupe jua linawaka.
padri atafutwe ili mathematics aombewe maana na hisi ana pepo la uongo.
pepo la uongo labda unalo wewe ruttashobolwa :cool2:, wakati umeni-PM muda si mrefu namba ya Madame B, umenibonyeza iwe siri yangu:biggrin:
wapi panamfaa mshindi!!??
mshindi??!! no one is winning anything , we are here just for fun.
Fun, MATHEMATICS unaona fun wakati wengine tunajua kuwa ni bonge la dili.
dili hapa ni ku chat tu.
Tu na ku share miili.
miili yetu wawili kani bila mathematics kuhusishwa.
Kuhusishwa na nini wakati Mathematics yuko bize na hesabu za bajeti.
bajeti wapi labda ya vitumbua.
Vitumbua ni biashara moja nzuri sana,
miaka ya nyuma ilisaidia sana kutunza hadi kusomesha watoto.
watoto wenyewe kama ndio kama design ya kina nchemba wazazi walipoteza nguvu bure.