taifa lenyewe hili la chukua chako mapemakulala lala ni dalili ya uvivu amkeni mkajenge taifa
taifa lenyewe hili la chukua chako mapema
nzuri zaidi ni kuwa zaidi yao mafisadimpango mzima ni kuwa fisadi tu, ukipata chance unapiga kama huna akili nzuri
kibao? Angalia usije ukang'olewa meno na nyundomafisadi wamejaa kila kona, hata jf wapo kibao
dawa yake ni kusinzia humuhumu.jf ni noma, yan ukijiunga hutoki hata kwa dawa
dawa yake ni kusinzia humuhumu.
Humuhumu watakwambia mchawi.
mchawi? Mbona ni cheo hicho
Hicho cheo labda kwenu ndo kipo,
kwetu ankha hamna.
hamna kwenu kweli? Ngoja nilete ushahidi
ushahidi wa nini sasa wakati mambo yote yapo wazi wee huoni hiyo hilizi aliyoning'iniza shingoni?? Ni uthibitisho na ushaidi tosha.
Tosha,yatosha.
Hii sio hirizi ni kamba ya kimfuko cha simu!
simu ina pumua? Acha kutudanganya
Kutudanganya kama yule mama anayetuhubiria kumbe naye ni mwizi.
mwizi wa umeme ashindwe na alegee!