JamiiForums game of the year

Beach ilikuwa zamani siku hizi beach zote wamegawiana huwezi kuingia tena
beach hata ukiwa na harusi yako, kila mahali unalipia ushuru.

unalipia ushuru? utalipaje ushuru wakati nchi ni yako!
yule mama nanihii wa arizi si alisema atatwaa beach zote?
 
unalipia ushuru? utalipaje ushuru wakati nchi ni yako!
yule mama nanihii wa arizi si alisema atatwaa beach zote?

Zote....!!!! Thubutu....mtaachiwa zile zilizochoka na zilizo chafu, wao watajimilikisha zile nzuri.
 
Zote atazitwaa lakini watajiuzia wao kwa wao
lazima mtoto wao ajenge hoteli za kimataifa utasikia huyu
amezingatia viwango but you know wao walijenga kiholela.

unalipia ushuru? utalipaje ushuru wakati nchi ni yako!
yule mama nanihii wa arizi si alisema atatwaa beach zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…