Upya wao hautafua dafu kwa nguvu ya umma...
ikulu kulivyo!! Kwani kupoje?UMMA Unaweza kuwabadilikia muda wowote, ila kwa Mwanza nadhani wachukulie kama training gorund ya ikulu kulivyo!!
Kupoje....? Kule nadhani ni kama mbinguni maana vita inayopiganwa kuingia huko ni balaa.ikulu kulivyo!! Kwani kupoje?
Kupoje....? Kule nadhani ni kama mbinguni maana vita inayopiganwa kuingia huko ni balaa.
Balaa kubwa kuwahi kutokea TZ ni kuPata raisi msanii
Msanii ndani ya jumba la sanaa,anajiachiaje?
Anajiachiaje?? Full kula raha pale magogoni.
Wasweet Magogoni akiwemo Mwanaasha wanatafuna taratibu kodi zetu.
Wasweet Magogoni akiwemo Mwanaasha wanatafuna taratibu kodi zetu.
hatari zaidi itakuwepo tusipobadilisha uongozi,zetu dua, maana bila hivyo hii nchi itakuwa hatari
Uongozi wa nchi hii umekuwa ni wa kurithishana, anatoka baba anaingia mtoto.
Mtoto inatakiwa apate malezi bora.
Urithishaji wazidi kushamiri,
Jana tu alianza baba Ikulu,
Leo twamsikia mama NEC Lindi,
Kesho ni nani afuata kama si mwana?