Jamiiforums gossip and rumours

Majivuno mda mwingn hayafai,jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake ndo anapiga,jamaa kwa kutaka kujionyesha akapokea cm na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana
 

Attachments

  • 20240707_091705.jpg
    166.6 KB · Views: 2
Hujawahi kumiliki akili๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ