Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Asante nishapoaVizuri, pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nishapoaVizuri, pole sana
Wewe niite tu Rashid tukiwa tunamsubiria mama YakoHii imetokea wapi😁
😄😄Wewe niite tu Rashid tukiwa tunamsubiria mama Yako
Njoo na ID Yako ya zamani😄alparslan kwenye moja na mbili,,,, ngoj niweke kituo hapa
🤣🤣kama wew tu em njoo na ile ID yako 😜Njoo na ID Yako ya zamani😄
Naijua hiyo😄🤣🤣kama wew tu em njoo na ile ID yako 😜
Hujawahi kumiliki akili😄😄Majivuno mda mwingn hayafai,jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake ndo anapiga,jamaa kwa kutaka kujionyesha akapokea cm na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana
Acha majivuno kwenye halaiki ya watu wengi mkuuHujawahi kumiliki akili😄😄
Haya😄Acha majivuno kwenye halaiki ya watu wengi mkuu
Hizo fremu zingine,,,,😂😂😂😂😂😂
Matapeli haoWhat is this