Jamiiforums gossip and rumours

Jamiiforums gossip and rumours

Nani mwingine ameona kama midekoo ametoka kwenye KIFUNGO
Alikuwa amefungiwa kupost kwenye ule Uzi wa "
Picha za warembo wakali worldwide"
Sasa kaachiwa rasmi ameanza makeke yake kule😁
 
1688399904728.jpg

Huu mwandiko sio mgeni
 
Je wajua Leo kwa mara ya kwanza 12:27 AM Toka mwaka uanze mda huu hakuna mods alie kuwa active kwa sasa jukwaani wote wamelala usingizi 😂😁😁😁😁
 
Ili kuepusha kuharibu nyuzi nyingine kama ambavyo imekuwa ikitokea katika majukwaa mbali mbali
Sasa rasmi huu ndo Uzi wenu wambea wa jf na nje
ya jf
Kwa umbea Wa ndani au hata nje ya jf, member anaetaka kujimwaya mwaya anaweza kutumia code Ili wenye D mbili waende nae sawa
(,sio lazima kutumia code)

Kupitia huu Uzi ambao ni Malumu Kwa ajili ya GOSSIP AND rumours member yeyote ataweza kujimwaya mwaya hapa kwa kile alichokiona au kukisikia nje na ndani ya jf

ANGALIZO :matusi hayaruhusiwi epukeni kukiuka Sheria za nchi pamoja na za jamii forum.
20240827_223620.jpg
 
Huu uzi kipengele kingine hiki,maumbea tena aiseee....ina maaana madude ambayo hatuko sure ila tunaongea chini chini tu ilimradi tujofurahishe mioyo yetu.
 
Huyu sweety candy sjui yupoje alisema ame salenda hatopost uzi wa aina yoyote zaidi ya kukoment, kulike na kuwa msomaji nashangaa Sasa Jana kapost thread
Sweetcandy jaribu kuwa na msimamo basi unatuchanganya😏
 
Haya ni mabao yake kabisa sio kwa kufanana huku😄
IMG-20240828-WA0003.jpg
IMG-20240828-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom