Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwamba umevimba kifua kama nyani? Au 🤣 🤣 🤣mazoez mhim sana, nliingia gym kipindi niko secondary🤣, ila sasa sitak ule mwili aisee, mwendo wangu umeharibika natembea kifua mbele, naichukia hii hali.