RASHID ELLY KENAN
New Member
- May 2, 2024
- 2
- 2
Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini.
Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa.
Jamii Forums miaka sita (6)ijayo utoaji taarifa wa chombo cha habari umekuwa imara haswa katika maudhui pamoja na kutumia picha za vionjo (cartoon) ili kufikisha ujumbe kwa Jamii na muendelezo utanuaji wa Tasnia katika miaka ijayo ni pamoja na kurusha matangazo katika runinga Dunia Kate.
Ili kufikia malengo ni lazima kujitanua katika utetezi wa watu Wenye uhitaji maalum ili kuwa kitovu cha uwasilishaji wa mambo ya watanzania na siyo viongozi wa Tanzania.
NB: 2030 sio sera ni uwajibikaji katika utoaji wa taarifa.
0696554919

Upvote
0