Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wote udsm, mtu akisema "wakati niko chuo mwaka wa kwanza" yaani bila kutaja jina la chuo basi huyo inafahamika hakusoma udsm.Kingine madada wote wa jf walisoma chuo,utasikia "Wakati niko chuo....."
Baada ya kugundua mtu fulani ndugu yangu naye ni member wa Jf huwa namtoa povu kila anacho post kwa kumwambia vitu kwa kujifanya kukisia kumbe ndo ukweli wenyewe ..utakuta namwambia "inaonekana hata elimu yako ni ya kuunga unga kutokana na kufeli". basi atavimba kwa kujidai "bwana mdogo......... " .
Kwahiyo JF wengi wanatoana mapovu kwa makusidi kabisa.
Hiyo #1 kwamba watu wanakomenti kufuata alichokoment mtu wa kwanza sikubaliani nalo hasa ila ila hiyo ya like ni kweli kabisa,ukifungua thread hesabu post nane au kumi za mwanzo hata kama hazi-make sense basi utakutana na like balaa ila baada ya hizo ukisogea sogea hadi #20 hata kama zipo zilizojaa elimu na weledi unakuta zina like 1/2.ila hayo mengine yote mkuu screpa yupo sahihi.
kwani urembo unaishia wapi?Usikute unayemuita mrembo ni shangazi yako
hahahhahahha Raimundo umenichekesha kwa sauti kubwa hahahahaMalizia mwenyewe bana.
hahahhahahha Raimundo umenichekesha kwa sauti kubwa hahahaha
hahahahahahahahKuchoshana tu, sasa sisi tutajuaje anachotaka kujaza!
hhahahaah vipi STUNTER yule CHIKIRA MTABARI unamfahamu?unamjua?Watumiaji wa JF hakuna mtu wasiyemjua, Wewe muulizie mtu yeyote humu, utaambiwa hadi rangi ya chupi anayovaa
ndo unakuta mtu anakufahamu zaidi ya unavyojifahamu
Tatizo kubwa la baadhi ya members wa JF ni kusoma post bila kuelewa kisha wanakomenti.[/QUOTw
wanawezaje kukomenti mada wasioielewa.....ina maana ni wehu............?