JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

Am a star

Senior Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
167
Reaction score
158
TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “
Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo!

nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda.
sasa naweza kukusaidia

Kila eneo muhimu la jiji, kuna kijana mmoja nilie muweka anaeshughulikia kazi zenu, ili nyie wapendwa wangu muendelee na shughuli zenu maofisini na sehemu zenu za biashara bila majukumu kuingiliana.
kwa malipo ya kawaida kwa kazi na bure kwa maulizo.

NITAFUTE KWA KAZI YAKO YOYOTE AU MAULIZO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPITIA 0693354479 saa 24!

LOCATION

MAKUMBUSHO (Yupo kijana)

UBUNGO (yupo kijana)

KARIAKOO (yupo kijana )

POSTA (yupo kijana)

TEGETA (yupo kijana)

HUDUMA GANI NAWEZA KUSAIDIWA?

EPUKA FOLENI

Kuwahi foleni mbali mbali mfano NIDA, HOSPITALI, BANK kijana atawahi na kukaa foLeni, ukifika unalipia pesa unaendelea kupata huduma bila usumbufu..

WAHI TICKET ZA MABASI
Kukata tiketi kijana kutoka ubungo atakusaidia kukukatia tiketi gari unalotaka, kwa muda unaotaka, wakati wa kusafiri atakukabidhi tiketi yako.. utamlipa kwa malipo ya kazi hiyo na unaweza kumtumia pia hata kupokea na kutuma mizigo.

MANUNUZI KARIAKOO
Kijana wa kariakoo atakusaidia katika manunuzi yako na maelekezo ya mahali pa kupata bidhaa au vifaa unavyohitaji utamlipa kulingana na kazi iliyofanyika na muda uliotumika.

PRINTING & DESIGNING
Ukihitaji kupelekwa mahali wanapoprint kwa gharama nafuu na Quality nzuri mfano A4 MATERIAL YOYOTE 500tsh, bunner, calendar, tshirt, sticker, Business card kwa bei nafuu mno tofauti na maeneo unayoyafahamu wewe. usisite kutuuliza.

WEDDING & VIDEO PRODUCTION

Kwa upande wa harusi tunao watu wengi wa video production na ma mc hivyo tutakusaidia kumpata anaeweza kumudu mahitaji yako.. vijana wapo kila kona kuhakikisha wale wote wanaofanya vizuri tunawajua.
Kwa wale wanaohitaji DRONE piga namba hiyo hapo juu.

UFUNDI
Sisimami katika nafasi ya ufundi lakini tutakupeleka kwa fundi anaeweza kumudu tatizo lolote kwa electronic device yako hasa computer baada ya sisi kujiaminisha kua ni fundi mzuri na muaminifu.

Nipigie kwa kazi yoyote unayohitaji kusaidiwa kwa maana vijana wapo stand by kukuhudumia.

Karibu TOPTRUST HELP DESK a standby force 0693 35 44 79.

maswali yote najibu hapa hapa chini!
 
sambaza namba kwa yoyote anaehitaji kusaidiwa kazi mjini kwa kua yeye amekosa muda. 0693 354479
 
sambaza namba kwa yoyote anaehitaji kusaidiwa kazi mjini kwa kua yeye amekosa muda. 0693 354479

Je hizo kazi mnafanya kwa pesa zenu alafu mteja anafanya reimbursement ?! Mfano kununua ticket ya bus ubungo
 
Je hizo kazi mnafanya kwa pesa zenu alafu mteja anafanya reimbursement ?! Mfano kununua ticket ya bus ubungo
tungependa kufanya hivyo ila kampuni bado changa, kikubwa niwatajia mahali ilipo ofisi ili kujenga uaminifu.. bila uaminifu hakuna kampuni kama hii itayofanya kazi duniani kwa zaidi ya week.
 
Back
Top Bottom