JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

Hongera, ila ujue dunia inaenda kasi kuliko kasi yenyewe.

Ili upate wateja/biashara huna budi kujitangaza. Najua JF nayo ni hadhira kubwa sana ila jitangaze insta, fesibuku, twita na kwingineko ambako jamii ya leo inahsinda humo.

Tena ufanye hima ikiwezekana weka na tupicha twa vijana wako wakiwa nadhifu tayari kuwahisha huduma kwa UAMINIFU.

Ukichelewa kujulikana atakuja supastaa atabeba hii biashara utashaa anateka soko, jikite zaidi kujitangaza.

Nikutakie kila la kheri na mafanikio mema.

Mwaka mpya mwema.
 
nachukua hii sasa hivi yani.. Am so happy kwa support.
 
Back
Top Bottom