JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

Big up mkuu,safi sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kufanya manunuzi K'koo nimeipenda. Uaminifu na connection ya usafiri ni muhimu.
Jitahidi uwe na bei rafiki na vijna waaminifu
 
Hiyo ya kufanya manunuzi K'koo nimeipenda. Uaminifu na connection ya usafiri ni muhimu.
Jitahidi uwe na bei rafiki na vijna waaminifu
asante mkuu nafanyia kazi kila ushauri.
 
wazo zuri lakn naona kama unahitaji vijana wengi sana . hii ni kwa mfano una wateja 100 na wote wanahitaji huduma kwa wakati huo. mfano kuna wateja wanataka uwahi nafasi Bank au Hospital ma wakati huo huo wateja wengine wanataka wakanunuliwe mahitaji kkoo au posta huoni kama una nguvu kazi / vijana wachache unaweza pata stress . anyway jaribu kuangalia upande huo japo ndo mnaanza coz mnategemea kukua zaidi .

swali la nyongeza: Hii inakulipaje kwa maana pesa analipwa kijana wako wa kazi je upande wako pesa unaipataje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kijana kwa kubuni hili ni wazo zuri sana keep it up. Ushauri wangu siku hizi kuna matapeli wengi jambo ambalo linafanya biashara nyingi au mawazo ya biashara kufail hivyo jitaidi sana kuwa mwaminifu na kuwafundisha vijana wako kuwa na uaminfu wa hali ya juu sana, kwani likitokea hata kosa moja inaweza kuchukuliwa kama genge la matapeli na hata kuchukuliwa hatua za kisheria nyote kwa pamoja.
 
kuna percent ya ofisi kwa kila pesa inayolipwa.. Kwa maana kazi zote zinanifikia mimi kwanza then nampatia anaweza kuifanya kwa wakati na kwa uhakika.. Wazo lako nalifanyia kazi hope ntakua na vijana wengi tu hivi karibuni.
 
k
kweli kabisa unachokisema, nafanyia kazi kila wazo mkuu.. Asante kwa ushauri.
 
taratibu tunapeleka kwenye system ya digital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…