JamiiForums kila mtu yupo single

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Habari za weekend
Jaman hebu tupunguze uongo kila mtu anasema yupo single Hana mpenzi.

Wengine mnaishi na wake na waume zenu lakin kutwa kujisifia na kulalamika nimeachwa na mpenzi wangu.

Alafu tabia ya wanaume mliooa kuwa na wivu wakati wa kutongoza mnaitoa wapi eehh hampendi Wadada tuwe na wapenzi kwanini lakin mnakuwa hivyo alafu cha ajabu hata nikikubalia hutanioa muache hiyo tabia.

Wengine kila week anatafuta mchumba love connect mnabana nafasi inaonesha una gundu kuanzia mtaani mpaka huku Jamiiforum mjirekebishe .

Na nyie mnaokataliwa pm kuleta hasira kwenye comment jiandaeni Kwa block tu hamna namna.

Jamanii hakuna mtu anaweza kuwa single La sivyo ni mwanachama wa CHAPUTA.
 
Mapenz ya msimu siwezi ita double, itabaki kuwa singo hadi awepo mmiliki halali [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Lil Wayne kwenye 6 foot 7 foot anakwambia.

"....you nicca you close your mouth and let your ass talk...
 
Je wale ambao tunanunua na kula alafu kila mtu anafuata yake tunaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…