JamiiForums kila mtu yupo single

JamiiForums kila mtu yupo single

Wengi humu wameoa na kuolewa, mengine ni changamsha genge tuu.... Usichukulie kila kitu serious humu, mwingine aweza kutongoza kumbe ni utani pia!!
Akikataliwa anakuja kukunyea kwenye comment
 
Dawa ya mwanume anayetangaza kuwa ni single ni moja tu basi, mwambie umtembelee kwake na hakuna kugegedana, upaone na ujiridhishe hapo utapata uhakika maana hata majirani ukiwadadisi watasema
 
Dawa ya mwanume anayetangaza kuwa ni single ni moja tu basi, mwambie umtembelee kwake na hakuna kugegedana, upaone na ujiridhishe hapo utapata uhakika maana hata majirani ukiwadadisi watasema
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]weeeee wagumu hawakubali kujishaua wanaishi na ndugu zaoo mxeeew
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]weeeee wagumu hawakubali kujishaua wanaishi na ndugu zaoo mxeeew
ukijaribu akikataa basi ujue hana nia njema, hata kama anaishi na ndugu yake si unakuja tu kumsalimia ujionee mazingira akikataa achana naye
 
Mi sijaoa ila nina tekiawei zangu chache.
"Msema kweli mpenzi wa mungu" .JPM
 
Back
Top Bottom