Jamiiforums kuna matajiri tupu

Aisee..nipo kwako huku juu nakusubiri...au niswim kidogo wakati nasubiri urudi😉

Leo nipo Kishiri shambani nakusubiri .....

Nikitoka hapa nakwenda Mhandu nyumbani ....!!
 

Unaogopa tu bure...so far watu niliokutana nao humu ni wa kawaida hakuna mwenye mapembe ndo maana story za kutunga nyingi humu ilimradi tu mtu ajitoe stress
 

Loading error....
 
Usiogope makunyanzi ya watu, komaa kijana!
 

Vipi, wamekukwaza?
 
Umaarufu jf,wasomi jf,wao na vikao na watu wakubwa tu, yaan ni shidaaa humuu
 
Ukifata ya watu fake humu utachizika bureee.Wewe jisomee tu ucheke uongeze siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…