Jamiiforums kuna matajiri tupu

Daaaah yaani niko JNIA naelekea Dubai hapa kene kukaguliwa mizigo nimecheka mpaka watu kwenye kyuu wananishangaa lol
 
Hapo kama nakuona mbagala chalambe unagombea zile uda zenu shurti umerukia siti kwa dirishani lol
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana
 
Mleta mada, sijui nini kinakuumiza, ila nikujuze tu, Majumba watu wanayo, Mmoja wapo mimi ninazo Nyumba, na kigari pia ninacho.
Hivyo badala wewe kuona ni Uwongo ulitakiwa uichukue kama changamoto nawe uwe na vyako.
 
Naam
 
Huwa nikiona Picha ya msela bila kuangalia jina nikisoma comment mbona najisema sijawahi kuandika hivi mimi ,nikija kuangalia jina naona siyo langu ndiyo naona kweli siyo muandiko wangu.

Kuna Avatar nilikuwa naitumia pia nitonye naye akawa anaitumia nikaondoa nikaweka hiyo naona pia Jembe Africa anaitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…