ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
ndo walewale jamani au siyo
Ki ukweli mm binafsi niko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki ukweli mm binafsi niko vizuri
Tatizo unachukulia kila jambo humu sooo serious utaumia Buree...
Hahahahahaha hii thread imenichekesha hadi watu nilio panda nao tren ya umeme kutoka Los Angel kwenda New York wote wamenishangaa nacheka nini!
Unajua New York nimenunua Apartment kwa hiyo naenda kuingalia!
Lakini kilicho nishangaza kwenye hii treni ni usumbufu wa wahudumu maana kila muda Mara wamekuuliza utakunywa nini? Ukiwambia chai wanakupa na baga na ukiwambia Soda wanakuletea cret zima! Kwakweli ni wasumbufu sana!
Hapa nilipo wametoka kuniuliza ninataka kusoma nini muda huu nikawambia wanipe Kitabu cha Think Big cha Ben Carson au Gazeti La New York Times...kwakweli huku hakuna Uwazi wala Risasi!
Daaa kwakweli ni usumbufu mtupu halafu nimegundua kabisa kila Muhudumu humu ana Masters ya Customer care and economics!
Kwakweli wana Jf nimejuta kupanda hii treni lakini ni uzembe wangu wa kuchelewa flyt baada ya kutumia muda mwingi kujiandikisha masomo ya PhD kwenye chuo kimoja maarufu duniani kilichopo huku Marekani!
Ngoja nishuke naona treni imekaribia na kuna Profesa mmoja ananisubiri anataka nimsaidie kuandika Thesis!
Cc wakishua Evelyn Salt! brenda18 Dina Khantwe
Cc King Kong IIIKwakweli huwa nacheka sana maana thread za huku ndani inaonekana kila mtu mambo safi, anadrive, ananyumba, ofisi safi, anaenda nje mara kwa mara, je sisi tuliopanga na tuna baiskeli tu
Tuendelee kulogging in au tusepe, maana ukitafakari ni zaidi ya uswiss na marekani.
Hatari sanaUmeongea aisee! Nyingi sana hizi "wakati natoka japani....",nikiwa ofisini kwangu..." " gari yangu break zikafail.."" mabizness partier wangu kutoka UK..."nikachukua loan ya sh mil 700 ofisini". Yaaani ni hatari! Ukiwaza sana unaweza ukaogopa kuchangia post humu!
Kwanza ielweke wazi, kumiliki nyumba ya kawaida na gari la kawaida wala siyo utajiri.Huku kwenye mitandao mtu akijua kulog in tayari ni tajiri.
ndo walewale jamani au siyo
NaamMleta mada, sijui nini kinakuumiza, ila nikujuze tu, Majumba watu wanayo, Mmoja wapo mimi ninazo Nyumba, na kigari pia ninacho.
Hivyo badala wewe kuona ni Uwongo ulitakiwa uichukue kama changamoto nawe uwe na vyako.
Huwa nikiona Picha ya msela bila kuangalia jina nikisoma comment mbona najisema sijawahi kuandika hivi mimi ,nikija kuangalia jina naona siyo langu ndiyo naona kweli siyo muandiko wangu.