Jamiiforums league

mechi inaanza saa ngapi, nataka kuja kushangilia
 
Hizi timu mbona wachezaji wenyewe hatupo naona wamejaa mashabiki
MTN,AB hawapo?
 
kwakuwa sinyolita amesajiliwa timu mbili,
na kwakuwa sheria za usajili haziruhusu mtu mmoja kuchezea timu mbili,
na kwakuwa mimi ni mchezaji mzuri,
na kwakuwa sijapangwa kuchezea timu yoyote,
na kwakuwa nia ya kucheza ninayo,sababu ya kucheza ninayo,[uwezo mhhhh]
kwahiyo naomba nafasi kwenye timu moja kati ya hizo mbili,mimi nacheza nafasi 10uwanjani kasoro golini tu
 
Hizi timu mbona wachezaji wenyewe hatupo naona wamejaa mashabiki
MTN,AB hawapo?

Bwana weh... itabidi tukashangilie mazee... labda tuombe kamati za ufundi na fita za hapa na pale!!
 
Hizi timu mbona wachezaji wenyewe hatupo naona wamejaa mashabiki
MTN,AB hawapo?
Mko kikosi B mkubwa
wewe Belo, Chrispin, Geoff, Mirtkad, Shishi, n.k
 
ha ha ha ha! alikuja navyo Fidel80 kutoka vacation tukuyu usimwambie mtu lakini
Mmmh! Siku hizi hivi hvina tena nafasi kwani mpira unapigwa ki-book zaidi kuliko kindumba. Fidel80 hawezi pata hivyo yeye alikuwa na mitikasi mingine kabisa, na hiyo baridi ya Tukuyu sijui impact yake itakuwaje
 
Kimsingi mpaka sasa hivi timu inayoongoza ligi ni timu ya akina Masanilo, ikifuatiwa na timu ya akina Sinkala. Wakati timuza akina Fidel80, Kibunango na Arsene Wenger kufikia Jumatano inawezekana zikawa zimeshuka daraja na kupisha nyingine kupanda
 
Team H
  • Mzee Mwanakijiji
  • MtuwaKawaida
  • Next Level
  • Nyambala
  • RoyaRoy
  • Ziondaughter
  • Ulate
  • Superman
  • MgonjwaUkimwi
  • Ndahani
  • Junius

Substitute
  • Mbogela
  • Mauza uza
  • Limbani
  • Jerome
  • Nyani<abiziani>
Kocha: Kandambilimbili
Kocha Kandambili itabidi unipe Unahodha wa hii timu na nitahakikisha tunachukua kombe.
 
Sipo
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Jul 2008
Posts: 867
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Mkuu Sipo, inakuwaje una mabandiko 867 tangu ujiunge zaidi ya mwaka mmoja uliopita lakini hakuna 'Thanks' yoyote uliyopewa wala kutoa? Au ndo system ilipokuwa inafanyiwa maintanance?
 
Mko kikosi B mkubwa
wewe Belo, Chrispin, Geoff, Mirtkad, Shishi, n.k

Mkuu mbona unatuingiza kwenye mechi za mchangani? Ligi yetu bado haijaanza bana.
 
Mkuu mbona unatuingiza kwenye mechi za mchangani? Ligi yetu bado haijaanza bana.

hehehehe!
shemeji,TUMSIFU YESU KRISTO!
naona huyu jamaa anataka tuongee sasa....
 
Mkuu mbona unatuingiza kwenye mechi za mchangani? Ligi yetu bado haijaanza bana.

Napenda kukusalimu mnyonge wangu ,habari za wikiendi!.pole sana haujapangwa kwenye timu yoyote,usijali utachukua nafasi moja ya pretty amepangwa mara 2,mbona wewe ni kipa mzuri tu?.
 
Napenda kukusalimu mnyonge wangu ,habari za wikiendi!.pole sana haujapangwa kwenye timu yoyote,usijali utachukua nafasi moja ya pretty amepangwa mara 2,mbona wewe ni kipa mzuri tu?.

Hahaha! Marahaba kijana wangu. Wikiendi ilikuwa biyee. Nimekusubiri hukutokea, mtoto mbaya sana wewe. Siwezi kuingia kwenye hii ligi, si unajua mi sijui kucheza karata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…