hehehehe!
shemeji,TUMSIFU YESU KRISTO!
naona huyu jamaa anataka tuongee sasa....
Hahaha! Marahaba kijana wangu. Wikiendi ilikuwa biyee. Nimekusubiri hukutokea, mtoto mbaya sana wewe. Siwezi kuingia kwenye hii ligi, si unajua mi sijui kucheza karata?
Uliponialika hukuwa unamaanisha yani hukuweka msisitizo,mie huwa napenda kubembelezwa kwanza,kwa kifupi nadeka.anyway kwenye ligi lazima uingie tu hii ni soka na sio kareti.Na mpwao Fidel80 vipi? mbona unreachable sana siku hizi?msaidie mwenzio bwana.
Mpwa amepata mkataba wa kuitest ndovu mpya. Yuko busy sana. All the time.
Dah ,namsikitikia sana.kanisa litamshinda huyu
Mkuu mambo ya system hayo Gabu
Mkuu Sipo, inakuwaje una mabandiko 867 tangu ujiunge zaidi ya mwaka mmoja uliopita lakini hakuna 'Thanks' yoyote uliyopewa wala kutoa? Au ndo system ilipokuwa inafanyiwa maintanance?
Kumbe ndio maana timu ya akina Fidel80 iko kwenye hati hati ya kushuka daraja kwani naona hakuna hata mdau mmoja aliyetokea hapa kuisapoti timu yao. By friday inaweza kuwa imetoka kwenye game na timu nyingine kupandaMpwa amepata mkataba wa kuitest ndovu mpya. Yuko busy sana. All the time.
Kwani nimekosa nini tena Bw. Geoff? Viwango tu vimetofautiana ndio maana inabidi timu yenu na akina MTN, Chrispin, Nguli, n.k inabidi iingie round ya pili. Pigeni jaramba ligi ni ngumu sana na itabidi mtokeze sana hapa kutetea timu yenu.hehehehe!
shemeji,TUMSIFU YESU KRISTO!
naona huyu jamaa anataka tuongee sasa....
Kwani nimekosa nini tena Bw. Geoff? Viwango tu vimetofautiana ndio maana inabidi timu yenu na akina MTN, Chrispin, Nguli, n.k inabidi iingie round ya pili. Pigeni jaramba ligi ni ngumu sana na itabidi mtokeze sana hapa kutetea timu yenu.
Nashangaa kwanini Chrispin aweki wazi kuwa yeye ni majeruhi kwa maana hiyo kiwango kimeshuka baada ya kuongezeka uzito. Au naongopa binamu-Chrispin? Ulikuwa kipa mzuri sana kama alivyosema Ziondaughter lakini uzito kaka, punguza mwili huo mjomba utasajiliwa na Abdulhalim maana kikosi chake bado kina mapungufuNapenda kukusalimu mnyonge wangu ,habari za wikiendi!.pole sana haujapangwa kwenye timu yoyote,usijali utachukua nafasi moja ya pretty amepangwa mara 2,mbona wewe ni kipa mzuri tu?.
Timu E hadi sasa haijapoteza mechi yoyote... na hii ni kutokana na uzoefu mkubwa wa kipa wao.Kimsingi mpaka sasa hivi timu inayoongoza ligi ni timu ya akina Masanilo, ikifuatiwa na timu ya akina Sinkala. Wakati timuza akina Fidel80, Kibunango na Arsene Wenger kufikia Jumatano inawezekana zikawa zimeshuka daraja na kupisha nyingine kupanda
Kaka Swahilian kumbe na wewe mwanafutiboli eeh!Poa tuuuu! kumbe katika mashabiki nipo.......... ntashuhudia mechi kama vipi ntarusha sarafu! najua yupo atalipizaaaa........ atakula benchi na chama cha jamii .........eti naye tumwite nyaaaaan....i! au guruuuuuuuw...e au!ntatupa putooooo. na jua watu watapata goliiiii .. na wengine watalalamikaaaaaaaaaa! mashabiki oyeeeeeee!
Mkuu Kibunango mimi kama shabiki naona kuna kila sababu yako kuajiri kocha mpya kama kweli inahitaji kuepuka kushuka darajaTimu E hadi sasa haijapoteza mechi yoyote... na hii ni kutokana na uzoefu mkubwa wa kipa wao.
Mechi ijayo inategemewa kuingia katika kumbukumbu za JF iwapo Timu E inaendeleza ushindi wake
Poa tuuuu! kumbe katika mashabiki nipo.......... ntashuhudia mechi kama vipi ntarusha sarafu! najua yupo atalipizaaaa........ atakula benchi na chama cha jamii .........eti naye tumwite nyaaaaan....i! au guruuuuuuuw...e au!ntatupa putooooo. na jua watu watapata goliiiii .. na wengine watalalamikaaaaaaaaaa! mashabiki oyeeeeeee!
Mko kikosi B mkubwa
wewe Belo, Chrispin, Geoff, Mirtkad, Shishi, n.k