Jamiiforums league

Jamiiforums league

hehehehe!
shemeji,TUMSIFU YESU KRISTO!
naona huyu jamaa anataka tuongee sasa....

Milele Amina Katekista. Tukikaa kimya wanatuchokoza, tukichonga sana wanatuandama. Lol! Tuna bahati mbaya sana Shemeji.
 
Hahaha! Marahaba kijana wangu. Wikiendi ilikuwa biyee. Nimekusubiri hukutokea, mtoto mbaya sana wewe. Siwezi kuingia kwenye hii ligi, si unajua mi sijui kucheza karata?

Uliponialika hukuwa unamaanisha yani hukuweka msisitizo,mie huwa napenda kubembelezwa kwanza,kwa kifupi nadeka.anyway kwenye ligi lazima uingie tu hii ni soka na sio kareti.Na mpwao Fidel80 vipi? mbona unreachable sana siku hizi?msaidie mwenzio bwana.
 
Mpwa amepata mkataba wa kuitest ndovu mpya. Yuko busy sana. All the time.
 
Mkuu Sipo, inakuwaje una mabandiko 867 tangu ujiunge zaidi ya mwaka mmoja uliopita lakini hakuna 'Thanks' yoyote uliyopewa wala kutoa? Au ndo system ilipokuwa inafanyiwa maintanance?
Mkuu mambo ya system hayo Gabu
Unacheza position gani wewe, ongea na Masanilo akufanyie mpango usajiliwe kwenye timu yao
 
Mpwa amepata mkataba wa kuitest ndovu mpya. Yuko busy sana. All the time.
Kumbe ndio maana timu ya akina Fidel80 iko kwenye hati hati ya kushuka daraja kwani naona hakuna hata mdau mmoja aliyetokea hapa kuisapoti timu yao. By friday inaweza kuwa imetoka kwenye game na timu nyingine kupanda
 
hehehehe!
shemeji,TUMSIFU YESU KRISTO!
naona huyu jamaa anataka tuongee sasa....
Kwani nimekosa nini tena Bw. Geoff? Viwango tu vimetofautiana ndio maana inabidi timu yenu na akina MTN, Chrispin, Nguli, n.k inabidi iingie round ya pili. Pigeni jaramba ligi ni ngumu sana na itabidi mtokeze sana hapa kutetea timu yenu.
 
Pamoja na kunitosa kundi A mazee, timu yangu itakuwa ya kufa mtu.. Ushaona mtu anakimbiza mwizi kwa vigelegele... sasa hiyo ndio itakuwa MTM dream team!!! tutaomba kwa mkopo AB-Tichas na Belo, VeraCity na Mbu watapiga vuvzela wakati Pretty, Fidel na wenzake wakigawa juisi za viplastiki

Mazoezi tutaenda Brazil kuanzia wiki ijayo
 
Msimamo wa Ligi mpaka sasa
Team A points 8
Team B points 0
Team C points 15
Team D points 0
Team E points 5
Team F points 0
Team G points 5
Team H points 10
 
Napenda kukusalimu mnyonge wangu ,habari za wikiendi!.pole sana haujapangwa kwenye timu yoyote,usijali utachukua nafasi moja ya pretty amepangwa mara 2,mbona wewe ni kipa mzuri tu?.
Nashangaa kwanini Chrispin aweki wazi kuwa yeye ni majeruhi kwa maana hiyo kiwango kimeshuka baada ya kuongezeka uzito. Au naongopa binamu-Chrispin? Ulikuwa kipa mzuri sana kama alivyosema Ziondaughter lakini uzito kaka, punguza mwili huo mjomba utasajiliwa na Abdulhalim maana kikosi chake bado kina mapungufu
 
Mkuu Kibunango nashangaa siku hizi ofisi imekuweka busy hata unashindwa kuhudhuria bonanza na timu yako kuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Nilikuwa na habari za kuwa wewe ulikuwa kipa mzuri kama vile Iker Cassillas lakini kaka siku hizi kunani au umri umekutupa mkono. Lakini si kuna mechi za MAVETERANI Mkuu
 
Poa tuuuu! kumbe katika mashabiki nipo.......... ntashuhudia mechi kama vipi ntarusha sarafu! najua yupo atalipizaaaa........ atakula benchi na chama cha jamii .........eti naye tumwite nyaaaaan....i! au guruuuuuuuw...e au!ntatupa putooooo. na jua watu watapata goliiiii .. na wengine watalalamikaaaaaaaaaa! mashabiki oyeeeeeee!
 
Lakini kwa nini wewe uwe mshabiki?
Kiwango ndugu yangu
Bado najifua usiku na mchana nikiwa fiti nitarudi dimbani, sitaki kufadhaika kama Ronaldinho
 
Kimsingi mpaka sasa hivi timu inayoongoza ligi ni timu ya akina Masanilo, ikifuatiwa na timu ya akina Sinkala. Wakati timuza akina Fidel80, Kibunango na Arsene Wenger kufikia Jumatano inawezekana zikawa zimeshuka daraja na kupisha nyingine kupanda
Timu E hadi sasa haijapoteza mechi yoyote... na hii ni kutokana na uzoefu mkubwa wa kipa wao.

Mechi ijayo inategemewa kuingia katika kumbukumbu za JF iwapo Timu E inaendeleza ushindi wake
 
Poa tuuuu! kumbe katika mashabiki nipo.......... ntashuhudia mechi kama vipi ntarusha sarafu! najua yupo atalipizaaaa........ atakula benchi na chama cha jamii .........eti naye tumwite nyaaaaan....i! au guruuuuuuuw...e au!ntatupa putooooo. na jua watu watapata goliiiii .. na wengine watalalamikaaaaaaaaaa! mashabiki oyeeeeeee!
Kaka Swahilian kumbe na wewe mwanafutiboli eeh!
Piga mazoezi nasikia Mugo "The Great" atasajili wakati wa dirisha dogo la usajili
 
Timu E hadi sasa haijapoteza mechi yoyote... na hii ni kutokana na uzoefu mkubwa wa kipa wao.

Mechi ijayo inategemewa kuingia katika kumbukumbu za JF iwapo Timu E inaendeleza ushindi wake
Mkuu Kibunango mimi kama shabiki naona kuna kila sababu yako kuajiri kocha mpya kama kweli inahitaji kuepuka kushuka daraja
 
Poa tuuuu! kumbe katika mashabiki nipo.......... ntashuhudia mechi kama vipi ntarusha sarafu! najua yupo atalipizaaaa........ atakula benchi na chama cha jamii .........eti naye tumwite nyaaaaan....i! au guruuuuuuuw...e au!ntatupa putooooo. na jua watu watapata goliiiii .. na wengine watalalamikaaaaaaaaaa! mashabiki oyeeeeeee!

Ohooo Mswahili!!! Haya ya puto yananiongezea presha aisee Huko kwa mkwe Benitez Tayari kahamisha watoto shule!!!

Hivi Pundit umempa timu gani?? ana chenga za kufa mtu kwenye lugha
 
Mko kikosi B mkubwa
wewe Belo, Chrispin, Geoff, Mirtkad, Shishi, n.k

Yaani hiyo criteria ya kuwekwa Team B ndio ipi? wengine tumezoea kuwa team A kwa kila jambo eti!!!!!
 
Back
Top Bottom