Mzee MwanakijijiKulia? Hapana.
Ila huwezi kuzungumzia legends wa JF bila Ngabu kuwepo.
Huo ni ukweli mtupu.
Pia, wakikosekana Mzee Mwanakijiji, Mwafrika wa Kike, Kyoma, Kuhani, Kisura, Binti Maringo, Dar si Lamu, Tibwilitibwili, Ogah, Moelex, Augustine Moshi, Lunyungu, Bi Senti 50, Mkandara, na wengineo ambao labda nimewasahau basi orodha itakuwa haijakamilika kabisa.
kiwatengu I am humbled
Funza dumeBubu Ataka Kusema