JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Kulia? Hapana.

Ila huwezi kuzungumzia legends wa JF bila Ngabu kuwepo.

Huo ni ukweli mtupu.

Pia, wakikosekana Mzee Mwanakijiji, Mwafrika wa Kike, Kyoma, Kuhani, Kisura, Binti Maringo, Dar si Lamu, Tibwilitibwili, Ogah, Moelex, Augustine Moshi, Lunyungu, Bi Senti 50, Mkandara, na wengineo ambao labda nimewasahau basi orodha itakuwa haijakamilika kabisa.
Mzee Mwanakijiji
 
Asigwa
Riz
Faiza Fox
Mzee wa 'Mia'
Watu8
Zombe
Kiwatengu
The Boss
Nyani Ngabu
Miss Chaga
BAK
EMT
Mshana Jr
Asprin
Hekima Tele
Lizaboni
Mtanzania1989
Asha Dii
Joka Kuu
Tuko,
Sosoliso
Pasco
Mtanisahihisha kama nimekosea User name
 
Back
Top Bottom