JamiiForums Legends of ALL Time

Kabisa unafikiri nitakutajia?!! Hii yenyewe imebadilika majina(zamani ulikuwa unaweza kubadili jina ila akaunti inabaki ile ile)
Ila hii haijabadilika sana kutoka jina la awali si ndio?
hahaaaaa!! Dogo uliharibu eeeeh!!
 
Kabisa unafikiri nitakutajia?!! Hii yenyewe imebadilika majina(zamani ulikuwa unaweza kubadili jina ila akaunti inabaki ile ile)
Hata sasa unabadili jina na akaunti inabaki ile ile. Ndivyo nilivyofanya mimi.
 
Kuna siku YourNameIsMine nimemtaja si akaibuka na like...Wengi wapo humu sema hawaibuki tu

......kweli kabisa mzee mwenzangu, miaka 10 JF si mchezo, kama Nyani mzee....tumeyaona mengi.

Shukran sana kwa kutukumbuka.
[emoji3][emoji1417]
 
......kweli kabisa mzee mwenzangu, miaka 10 JF si mchezo, kama Nyani mzee....tumeyaona mengi.

Shukran sana kwa kutukumbuka.
[emoji3][emoji1417]
Mkuu wewe ni Arsenal kajitoe kule Liverpool....ni aibu timu kubwa kama Liverpool muanzilishi wa thread yao awe Arsenal damu!
 
Reactions: Mbu
Hii hapa ukirudi nyuma sana 2010 hivi utaona kuna posts zina jina la zamani....ile ya mwanzo ilibidi nibadili nilikuwa sijui maana ya anonymity.
Ulikuwa unatumia jina lako halisi nini!!! Yale yaleee yalonikuta.
 
Sasa hivi mpaka uombe, zamani ilikuwa unafanya mwenyewe.

Hmmm

Zamani ipi ambayo ulikuwa unaweza kubadili jina mwenyewe?

Maana tokea hata kabla JF haijawa JF, yaani enzi za TEF utaratibu ulikuwa ni huu huu kama ilivyo leo.

Ni mwaka gani kati ya 2006 na 2017 ambapo mwanachama alipewa uwezo wa kubadili jina mwenyewe?
 
Hivi wewe hukuwa ukibadili majina mara kwa mara?
 
Kuna huyu legendary MANI ana nondo adimu za kimya kimya katika masuala ya usafiri
 
Pasko ingawa sasa afichi tena id yake
 
Wala, ila nilikuwa free sana hadi nikajulikana na wengi....hata sasa hivi najulikana na wachache lakini.
Nami naomba nikujue,haiwezekani unajulikana na wengi alafu mimi sikujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…