JamiiForums Legends of ALL Time

Roho nzuri ya kuwajali binadamu wenzie na kuwapa kipaumbele kuliko hata yeye mwenyewe. Nilishangaa sana lakini ni watu wachache sana katika dunia ya leo wanakuwa na roho ya upendo kiasi hiki.

What do you mean BAK? tungo tata hiyo kwa kizazi cha leo
 
Roho nzuri ya kuwajali binadamu wenzie na kuwapa kipaumbele kuliko hata yeye mwenyewe. Nilishangaa sana lakini ni watu wachache sana katika dunia ya leo wanakuwa na roho ya upendo kiasi hiki.
Hata miss chagga ana roho nzuri sana
 
Reactions: BAK
Roho nzuri ya kuwajali binadamu wenzie na kuwapa kipaumbele kuliko hata yeye mwenyewe. Nilishangaa sana lakini ni watu wachache sana katika dunia ya leo wanakuwa na roho ya upendo kiasi hiki.
Okay, watu wa hivyo wapo mkuu...
 
Reactions: BAK
Ni kweli. Nilikuwa 2 times mwaka huu Dar ila kwa bahati mbaya sikuweza kabisa kuja huko kwenu.

Bwana Mkubwa ilibidi nimvute aje tuonane nyumbani. Ila napanga kufika huko kwenu next time kula Makanikia hahaha...

Salimia familia yote.
mtani upoooo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…