BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean BAK? tungo tata hiyo kwa kizazi cha leoHuyu bidada ana roho nzuri sanaaaaa.
What do you mean BAK? tungo tata hiyo kwa kizazi cha leo
Hata miss chagga ana roho nzuri sanaRoho nzuri ya kuwajali binadamu wenzie na kuwapa kipaumbele kuliko hata yeye mwenyewe. Nilishangaa sana lakini ni watu wachache sana katika dunia ya leo wanakuwa na roho ya upendo kiasi hiki.
Yani huyu lekchara kaamua kujipoteza mazima
Yawezekana mpwa. Waweza kuta aliingia kwenye mikono isiyo salama ya kina Vin Diesel au KakaKiiza akaona isiwe tabu bora hivi sasa ajiite Miss NatafutaMpwa huyo binti kitambo sana alipotea jukwaani, labda alibadili ID
Okay, watu wa hivyo wapo mkuu...Roho nzuri ya kuwajali binadamu wenzie na kuwapa kipaumbele kuliko hata yeye mwenyewe. Nilishangaa sana lakini ni watu wachache sana katika dunia ya leo wanakuwa na roho ya upendo kiasi hiki.
ahahahahha miss yu banaMpwa huyo binti kitambo sana alipotea jukwaani, labda alibadili ID
ahahhahahhahhaha nyau kweli wewe!Yawezekana mpwa. Waweza kuta aliingia kwenye mikono isiyo salama ya kina Vin Diesel au KakaKiiza akaona isiwe tabu bora hivi sasa ajiite Miss Natafuta
mweee jamani uuupo?Sorry Mkuu,
Sikuwa hewani masaa kadhaa.
Link ni hii hapa.
Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?
Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?
Kila la kheri.
mtani upoooo?Ni kweli. Nilikuwa 2 times mwaka huu Dar ila kwa bahati mbaya sikuweza kabisa kuja huko kwenu.
Bwana Mkubwa ilibidi nimvute aje tuonane nyumbani. Ila napanga kufika huko kwenu next time kula Makanikia hahaha...
Salimia familia yote.
ahahahhahha we mtu!