JamiiForums Legends of ALL Time

Nimejaribu kufuatilia komenti za malejendari wetu.

Naziona furaha machoni mwao kana kwamba wamefanikiwa kutokomeza kikosi cha Book Haramu sasa wanapongezana na kupeana pole inapendeza.

Asante mleta mada kwa kutujulisha mashujaa wetu hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…