JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

ahahahhahahhahaha ila nilikuwa mtunduuu!
siku hizi mezeeka mtani!
majukumu sijui na kamenopause kanachangia!
chaaaa!
uko poa lakin?
Hahah ila kweli majukumu yanapozidi collateral damage hutokea kwa michakato mingine kama JF...

Nipo poa mtani nimefurahi tu kubonga nawe hapa...
 
ndio ujue kwake mi namba zote nakaa!
Asprin baba klaree kuna mtu ananiuliza eti mi ni shemejiiiii au mchepukooo au kishika uchumbaaaaa au mke wenuuuu au naaani!
MUELESE BABA!
Nani huyo anaulizia nywele saluni...?

Mwambie wewe kwangu ni kila kitu. Leo mke, kesho shemeji, keshokutwa mkwe, jana mchepuko, juzi mama. Mwaka kesho sijui nikuiteje...??

Kwanza nani huyo anayekuuliza na mamlaka hayo kampa nani?
 
Nani huyo anaulizia nywele saluni...?

Mwambie wewe kwangu ni kila kitu. Leo mke, kesho shemeji, keshokutwa mkwe, jana mchepuko, juzi mama. Mwaka kesho sijui nikuiteje...??

Kwanza nani huyo anayekuuliza na mamlaka hayo kampa nani?
haaaaaaaaaaaaaaaaaaapo tu ndo sikuachi hata nikute uko na Khantwe sijui nani!
walaaa!
 
Kahtaan

Mzee said Mohammed

Gavana
hahahaha kahtaan siwezi kumsahau kule jamii intelligence na kina kiranga duuh jamaa alikua na matusi ya rejareja ila upstairs alionekana yuko njema.
 
Back
Top Bottom