Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i misss uKuna watu naona hawamjui kabisa Kloroquin ...enzi hizo na Mwali ..JF ilikuwa rahaa mno....kulikuwa na thread unacheka mwanzo mwisho
those were the days ..
i misss u
Wengi tumejiunga wakiwa/tukiwa 18s wakati nyie kuna uzi nilikuwa nasoma mtu 1970 yupo form six.Huwa naona members wapya kama kuna kitu kikuubwa wamekikosa
hao watu walikuwa wana vitu special...
sana kabisa japo mjomba wako ananizengua kinyama..................nipo mamii....mzima?