JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Hivi huyu si ndo Alberto ?
Inawezekana aisee...
Juzi kati hapa nilimcall mrembo mmoja kumbe alishafuta namba yangu bana...nikawa namzungusha kumwambia mie ni nani [emoji1] [emoji1] [emoji1] akaniambia wewe utakuwa The Boss tu...ha ha ha nilicheka sana.
 
Back
Top Bottom