Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lady doctor atakuwa Botswana huko...Hahahaha mkuu mpe hi nakumbuka enzi zenu za rais wa chit chat na zile kambi za akina lady doctor hivi huyu pia yuko wapi?
NiacheeeSaint Ivuga hiki kizee cha zaman jf
Wacha hizo
Asante my little sisy kwa kutambua uwepo wangu mimi nani shemeji yako japo sie wa juzi juzi [emoji13] [emoji13]Utafiti
Ntuzu
Khantwe
Wewe Pia ni legendaryrespect mtoa mada unetaja orodha ya watu ambao naweza kusema wameshawishi watu wengi kujiunga jamiiforums ulikua ukiingia jukwa la mahusiano mapenzi hutamani kulala kumechangamka mnooooo watu wanataniana n.k
Nakukumbuka sana sisy hahaha huwa nakariri sana comment yako moja those days ilikua inahusu mada za makabila ukaulizia wanya Ntuzu je lol!Asante my little sisy kwa kutambua uwepo wangu mimi nani shemeji yako japo sie wa juzi juzi [emoji13] [emoji13]