Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume wangu😱Nimefuatilia posts zooooote nimeshangaa wake zangu wa zamani cacico, Yummy BADILI TABIA na Kongosho hawajatajwa...
Popote mlipo nyie wake zangu wa zamani, mjue zile ndoa zilikuwa za kiislam... hivi sasa nimefunga ndoa ya kikristo na Sky Eclat
Nikichepuka huwa nachepukia hapo kwa Sakayo tuuuu
Baaaaaaaaas.....
Sakayo ni ndugu yangu wa damu.Labeka mke wangu...
Najua wajua nakupenda sana....
Umelogwa?It's not good enough excuse, Nikuache na Sakayo?
Ndugu yangu Daby alini onya kuwa utakuwa kuniliza sasa yametimia.Umelogwa?