JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

Dah kweli Ma Legendary wa kitambo

Wadada
Lizzy
Preta
AshaDii
Kongosho
Mwali
Beauty
Mrembo
Russian Roulette
Faiza Foxy
Afrodenzi

Wanaume
Kloroquin
Aspirin
Bujibuji
BAK
Finest
Mzee Mwanakijiji
Mushi

Na wengineo, mmenikumbusha ile JF ya enzi hizo ukisoma thread au post ya Kongosho lazima ucheke
 
Hii timu

Fidel80
Teamo
Bigirita
Kaizer
RR
MwanajamiiOne
Askofu
LD
GY
Rose1980
Kimey
Preta
Lily Flower
PakaJimmy
Filipo
Blaki Womani
Valentina
sweetlady
King'asti
snowhite
gfsonwin
Mtambuzi
KakaKiiza
ladyfurahia
FirstLady1
amu
KOKUTONA
Paloma
cacico
BADILI TABIA
Kongosho
klorokwini
Watu8
Bujibuji
KARIA
Yummy
Kabakabana
LiverpoolFC
Zion Daughter
BAK
Mbu
Nyani Ngabu
Kiranga
ram
kiwatengu
Zinduna
Madame B
Madame S
Jiwe Linaloishi
Chocs
Erickb52
nyumba kubwa
charty
shansarie
Chris Lukosi
Masanilo



Sijui niwesahau kina nani... hawajawahi kuniacha salama

Hivi vichwa ningeviambia vinisaidie kuwaelewesha vijana kama Mlaleo kuwa ile Bank ya Kimey inaitwa CRDB bank na wala sio CRD Bank vingenisaidia sana

Vijana wa siku hizi wanakula mayai ya kuku wa kisasa hata kufikirisha vichwa vyao hawawezi kabisa. Ila nimejitolea kuwafundisha bure.
Ni dhambi sana kunisahau mimi we jamaa...Hahaaa..Dah...Kitambo sana

Bala.
 
Back
Top Bottom