Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh...Miaka zaidi ya 10 JF si haba...Miaka inaenda sana aisee...Na JF inazidi kupaaWewe ni Legendary...
Hao ni malegendary...nikiri kuvutiwa na Heaven on Earth...nikiri kujuana nae kwa namna moja, ambayo sio ya moja kwa mojaAlonivutia hadi nijiunge na jf ni lara 1 DEMBA na Heaven on Earth. Yaani hawa wadada walikuwa wananikosha kweli na michango yao.