JamiiForums Legends of ALL Time

JamiiForums Legends of ALL Time

.......asante kaka. Kiukweli, huwa napitia angalau mara moja kwa siku, ila dahhh....Spidi ya 4G nashindwa kwenda nayo,....[emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi, Mchagga wangu wa Tanga kabadili jina nini? Namkumbukia kwa jina la MwanajamiiOne,.....Babu yake,...mzee @Aspirin namuona yupo gado.

BelindaJacob nae?,....

Tupo pamoja mkuu,
JF Daima.
Mkuu bado uko pande za Mkuranga, nikikumbuka ule uzi wako wa 10M, huwa nafurahi mwenyewe, ndio uzi ulio-hit vibaya nyakati zile. Kwema lakini?
 
Hahahaha, acha kabisa kaka, ule uzi bado upo hewani ujue! Namshukuru Mola, bado unaendelea kuwa ni kivutio kwa wasomaji wengi wa JF.

Mimi nipo all over the place, Alhamdulillah mambo sio mabaya sana. Napambana na hali yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Tupo pamoja kaka.

Mkuu bado uko pande za Mkuranga, nikikumbuka ule uzi wako wa 10M, huwa nafurahi mwenyewe, ndio uzi ulio-hit vibaya nyakati zile. Kwema lakini?
 
Back
Top Bottom