Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mimi nimewekwa wapi hapo...nitakukata chululu tukose woteNimefuatilia posts zooooote nimeshangaa wake zangu wa zamani cacico, Yummy BADILI TABIA na Kongosho hawajatajwa...
Popote mlipo nyie wake zangu wa zamani, mjue zile ndoa zilikuwa za kiislam... hivi sasa nimefunga ndoa ya kikristo na Sky Eclat
Nikichepuka huwa nachepukia hapo kwa Sakayo tuuuu
Baaaaaaaaas.....
mtani jiraniiii mzima wewe...mekukumbuka sana mtani wangu hasa vituko vyako hahahahahahahha miss yu bana
Hivi snow ni barafu eeeh?hee Natalia jamani!
baba sijui mnani mama mnini sijui!
ahahhhhhhahha motto wa kigogo
Daaaah!!Sorry Mkuu,
Sikuwa hewani masaa kadhaa.
Link ni hii hapa.
Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?
Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?
Kila la kheri.
Nitafutie gfsonwin aisee...ahsante brodaa!
miss ya too
mweee jamani uuupo?
Mzee upo?
Kwema kabisa....Hahha, nipo ndugu yangu!
Kwema?
Mkuu Watu8 heshima yako kiongozi wangumtani jiraniiii mzima wewe...mekukumbuka sana mtani wangu hasa vituko vyako hahah
Ahhh na wewe kumbe upo KhantweKwa hiyo mimi nimewekwa wapi hapo...nitakukata chululu tukose wote