Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Namuonea huruma anavyoneng'eneka...Sasa nini kinachokuliza?
Kama nini?Basi nitakuletea cha kunywa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu babu ni mchokozi.Mi mbona simfatilii akivaa suti zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] [emoji7] [emoji23] unayawezaa
Kwani wewe unapenda nini?Kama nini?
MajiKwani wewe unapenda nini?
Uhai,Dasani,sayona au kilimanjaro?Maji
Yoyote yale, ila yasiwe ya kwenye "viroba"Uhai,Dasani,sayona au kilimanjaro?
Basi usijari umeshapataYoyote yale, ila yasiwe ya kwenye "viroba"
Hapo sawa. ThanxBasi usijari umeshapata
Kukuatana Hapa Pekee Inatosha, Unataka Kukusanya Watu Ili? Umetumwa?Wana MMU nanyie mnatafutwa na wasiojulikana?
WanaJLW vepeeee nyie labda TCRa hahaaaaa
Nampenda sana mume wangu,wapambe kaeni pembeni
Mahondaw umemsikia narumuk huku??Sasa nani atakukula siku hiyo! Mimi mahondaw akija na Smart911 wake namuwekea nganda katika kinywaji chake azime niondoke na kimwana. Aidha siku hiyo Mama Sabrina nakufungia chumbani kwako
[emoji23][emoji23]hao uliowataja ndo ujumuike nao maana mpo karibu,
au unaonaje?
[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweliNa baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"